Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, April 12, 2012

SHIRIKISHO LA SANAA MMEONA HII HATA SIKU 3 BAADA YA KANUMBA KUZIKWA HAZIJAFIKA KITABU KIMETOKA MNAISAIDIAJE FAMILIA YA MAREHEMU KANUMBA KITABU NDO KINAUZWA HIVYO JE FAMILIA INAFAIDIKA VIPI???



Je hii ni sawa, Kutunga kitabu kinacho Muhusu Marehemu Kanumba na Kujipatia Ulaji bila hata ya Wanafamilia kujua?!! ama watu husika kujua? Kitabu hiki kinauzwa Ubungo, Muda huu kwa TSH 3000.

NAPENDA KUTOA ANGALIZO KWA SHIRIKISHO, MMESEMA KUWA MTAWASHUHULIKIA WOTE WANAO UZA NA KUTOA KAZI ZA KABUMBA BILA IDHINI.


NAAMINI KABISA KITABU HIKI WANAFAMILIA WANAPASWA KUNUFAIKA NACHO PIA.

LAKINI JE?? WALIOANDIKA YOTE NI SAHIHI? KUHUSU HISTORIA YA MAREHEMU, CHARLES STEVEN KANUMBA? NA JE? WALIWASHIRIKISHA WANAFAMILIA, JE NI HATUA GANI MMEZICHUKUA KWASABABU HATA SIKU 3 HAZIJAISHA, TAYARI KITABU KIMETOKA VIPI MNASAIDIAJE HILO?  ISIWE KUONGEA TU VITENDO VIWEPO JAMANI.

4 comments:

  1. Tz mikakati mingi ila implematation F. Hakuna lolote litafanyika watu wataendelea kuvuna kwa mgongo wa marehemu na watabadili magari kwa wizi huo huo.

    ReplyDelete
  2. nimeipenda hii comment wangu. One thing is, Hii historia nilifikiri ingejumuisha na maisha yake kabla ya kuwa mwana sanaa..yaani utotoni mpaka kufariki(sijui kama kitabu kimendika)pia nilihisi kuwa familia ndo ingetoa hii part ya utoto. however, other side of economic and take oportunity when it happen. kwa maana nyingine U put the MONEY WHERE THE MOUTH IS. hawa ni wajasiriamali wanasaka hela kwa njia ya kuchukulia kuwa alipendwa na watu watanunua gazeti hili...suala linakuja sheria ya nchi inasemaje kuhusu haki miliki? utu haki? ila mimi naona pia creativity is important and it pays if you have good timing.....suala la siku ngapi kafa na gazeti litoke lini ...hii ni quick mind and hands, i encourage it. Ila tufikirie jinsi ya kumsaidia LULU (17yrs)mtoto aliyetumiwa vibaya na KANUMBA

    ReplyDelete
    Replies
    1. WACHA MAHAKAMA ITENDE HAKI,UMRI WENYEWE NI UTATA KILA MZAZI ANAIBUKA NA UMRI TOFAUTI WA LULU.TANZANIA PUNGUZENI USHABIKI USIO NA MAANA.MAHAKAMA SI IPO.CHETI CHA KUZALIWA KINAWEZO KUNUNULIWA HATA UCHOCHORONI.
      TULIENI MAHAKAMA ITENDE HAKI KWA KUTIHIBITISHA KUWA LULU NI GUILT AU INNOCENT

      Delete
  3. Wahenga wana msemo wao "Kufa kufaana" sasa sijui ndo wameyafanyia kazi maneno ya wahenga!!
    Ila kuna kila 7bu ya kufanyika kitu ili iwe fundisho na mfano kwa wengine,maana utakuta kuna watu wanafikiri ama wameshatengeneza CD ili wapate kuuza!!

    ReplyDelete