Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, April 11, 2012

BREAKING NEWS TAHADHARI KWA WAKAZI WA MAENEO YA PWANI YA BAHARI YA HINDI HASA MTWARA



Mamlaka ya hali ya Hewa nchini imewataka wakazi wa maeneo ya pwani ya Bahari ya hindi hasa pwani ya Mtwara kuchukua tahadhari kwa kutokaa katika maeneo ya pwani kutokana na tetemeko la ardhi chini ya bahari lililotokea huko Indonesia ambalo huenda likaleta madhara katika pwani hio.


No comments:

Post a Comment