Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, April 23, 2012

JUMAPILI HII NILIPATA NAFASI YA KUTEMBELEA SHAMBA


Miongoni mwavitu ninavyo vipenda ni kujishuhulisha na vijikazi, huwa mara nyingi na pokuwa nyumbani sipendi kabisa kukaa tu nyumbani pasipo kufanya shuhuli yeoyote,

basi  kama kusafisha nyumba kufua au kupikapika basi nitakaa dukani kwangu na kuhudumia wateja wangu wnapokuja kununua nguo.


na kama sipo dukani basi lazima nitatoka na kwenda shamba ambako hujishuhulisha hata kama sina kazi ili mradi tu nifike na kuangalia hali ikoje, huwezi kuamini juma pili baada ya pilika pilika za hapa na pale basi  nikaona kama nimeboeka tu kukaa nyumbani  nikaamua kutoka kuelekea kwenye  kajishamba kangu huko kisarawe 2, ambapo nilipofika kama kawaida yangu nikaotesha miti kadhaa ili tu kuweka mazingira ya eneo hilo vizuri.


 Napenda sana sehemu yenye mazingira poa ikiwemo hali ya hewa so minaamini upandaji wa miti nilioufanya jana katika kajishamba kangu najua utanisaidia sana baadae hasa kupata kivuli pamoja na upepo mzuri. mwenyezimungu akinijalia uhai nikipanedeleza vyema .

hapa nilipita kununua miche ya miti ambayo ndio nilioipanda.

nikaiotesha vyema inavyotakiwa kwa kufuata maelekezo niliopewa



sikuwa pekeyangu na marafiki Dulla na mwenzake jina sikumbuki walikuwa na wao pia huko huko ni majirani zangu wakanisuport

baadae nikapita kusalimia Majirani na kuongea mawili matatu


nilifurahiswa na jinsi walivyokuwa wameotesha viazi vitamu.



Then wakati na rudi nikavutiwa na wingi wa farasi niliowaona pande za Dar Es Saalam Zoo nikaamua kuingia na kuwafuata nili enjoy sana

na nilijifuza machache kuhusu hawa farasi inapendeza kwakweli na kisha kama kawaida mpenda picha mimi nikapiga picha ya kumbukumbu.



Nikaondoka na kurejea zangu home kwa furaha baada ya kukamilisha azimio langu.

No comments:

Post a Comment