Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, April 20, 2012

FROM TWEETER ....mpaka sasa ni kura 62


tumepata sahihi 62 mpaka sasa. Makao makuu CUF imetoa agizo kwamba wabunge wao waweke sahihi. Tutafanikiwa.

kwa mujibu wa mh Zitto Kabwe.


HUKO ZANZIBAR NAKO ......
Watu kadhaa watiwa mbaroni visiwani Zanzibar

Harakati za kuupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimeanza kuwatia tumbo joto wahusika visiwani Zanzibar katika wakati ambapo Tanzania iko katika mchakato wa kutafuta katiba mpya.

Viongozi 12 wa harakati za kuupinga muungano huo wamekamatwa asubuhi ya leo na jeshi la polisi katika viwanja vya baraza la wawakilishi walikokuwa wamekwenda kwa lengo la kuwashindikiza wawakilishi waitishe kura hiyo ya maoni.
KWA MUJIBU WA DW NA SALMA SAID

No comments:

Post a Comment