Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, April 10, 2012

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA SAFARI YA MWISHO YA MPENDWA WETU STIVIN KANUMBA.

Hii ni barabara ya Kinondoni kuingia kwenye makaburi ya Kinondoni ilikuwa ni balaaaa yani dah, kule mbele ndio mwili wa marehemu Steven Kanumba ndio unakuja

 Kwa wingi wa watu ilibidi watu wapande juu ya miti lakini baadae waliamuriwa washuke chini na kamanda Kova


 Ray akiwa aamini kama swaiba wake ndio anakwenda kwenye nyumba yake ya milele


 Charlz Baba akiwa na wenzake kutoka Mashujaa Band, Charz ameniambia walikuwa wanatokea Morogoro so waliweza kuwahi makaburini


PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA