Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, April 20, 2012

SAHIHI 70 ZA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU = MAJIBU FROM TWEETER



FROM TWEETER.......RT zittokabwe @ #Sahihi70 mpaka sasa tumepata sahihi 52 kutoka kwa wabunge wa vyama vyote isipokuwa #UDP
##Sahihi70 ndugu Deo Filikunjombe amesaini. Huu ndio unaitwa ushujaa. Kuwa upande wa wananchi.

No comments:

Post a Comment